Ufafanuzi wa katiba katika Kiswahili

katiba

nominoPlural katiba

  • 1

    jumla ya kanuni ambazo huiwezesha serikali itawale au chama au kampuni iendeshe shughuli zake.

  • 2

    kawaida anayofuata mtu katika kufanya jambo fulani.

    ‘Bwana huyo alifurahi kumwona mwenyeji wake na kufahamu katiba yake’

Asili

Kar

Matamshi

katiba

/katiba/