Ufafanuzi wa katizo katika Kiswahili

katizo

nominoPlural makatizo

  • 1

    ukataji wa kitu katika sehemu.

  • 2

    usimamishaji au uzuiaji wa jambo lililokuwa linafanyika.

Matamshi

katizo

/katizO/