Ufafanuzi wa katua katika Kiswahili

katua

kitenzi elekezi

  • 1

    lima kwa kuchimbua; lima chenge; aua shamba.

Matamshi

katua

/katuwa/