Ufafanuzi wa kaukiana katika Kiswahili

kaukiana

kitenzi sielekezi

  • 1

    kauka kabisa; kuwa ngumu.

  • 2

    konda sana kwa mtu.

Matamshi

kaukiana

/kawukijana/