Ufafanuzi wa kauli katika Kiswahili

kauli

nominoPlural kauli

 • 1

  tamko au usemi.

  ‘Kauli moja’
  tamko, kalima, tamshi

 • 2

  ‘Nipe kauli yako’
  ahadi

 • 3

  ‘Kuna kauli tatu katika wazo hili’
  maelezo, maoni, hisia

Matamshi

kauli

/kawuli/