Ufafanuzi wa kaunta katika Kiswahili

kaunta

nominoPlural kaunta

  • 1

    mahali maalumu k.v. meza kubwa ambapo hutoa huduma mbalimbali.

    ‘Kaunta ya kukatia tiketi’
    ‘Kaunta ya malipo ya umeme’

Asili

Kng

Matamshi

kaunta

/kawunta/