Ufafanuzi wa kavu katika Kiswahili

kavu

kivumishi

  • 1

    -a kukauka; -liyoishiwa na maji; -liyokauka.

    kaukau, yabisi

  • 2

    -a kutokuwa na maji au rutuba.

    -gumu

Matamshi

kavu

/kavu/