Ufafanuzi wa Kazi ya kijungu jiko katika Kiswahili

Kazi ya kijungu jiko

msemo

  • 1

    kazi ya kumpatia mtu chakula bila ya kubakiwa na akiba.