Ufafanuzi wa kefu katika Kiswahili

kefu

kielezi

  • 1

    ‘Hata watoto wanalipa ada ya hospitali, kefu wewe mtu mzima’
    sembuse
    , → seuze
    , and → fakaifa

Asili

Kar

Matamshi

kefu

/kɛfu/