Ufafanuzi msingi wa keketa katika Kiswahili

: keketa1keketa2

keketa1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  tafuna kitu.

  kakatua

Matamshi

keketa

/kɛkɛta/

Ufafanuzi msingi wa keketa katika Kiswahili

: keketa1keketa2

keketa2

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  kata kitu kigumu kwa kutumia kitu butu.

 • 2

  tahiri mwanamke.

Matamshi

keketa

/kɛkɛta/