Ufafanuzi wa keneka katika Kiswahili

keneka

kitenzi elekezi

  • 1

    geuza maji kuwa mvuke kwa kuchemsha na kisha kukusanywa matone ya mvuke uliopita na kuwa maji.

Matamshi

keneka

/kɛnɛka/