Ufafanuzi wa kenua katika Kiswahili

kenua

kitenzi elekezi

  • 1

    fungua mdomo mpaka meno yaonekane, hususan mtu anapocheka au kuonyesha dharau.

Matamshi

kenua

/kɛnuwa/