Ufafanuzi wa kiamshahamu katika Kiswahili

kiamshahamu

nominoPlural viamshahamu

  • 1

    kinywaji cha kulevya kinywewacho kabla ya kula ili kuamsha hamu ya kula.

  • 2

    kinywaji kinachonywewa au kitafunio kinacholiwa kabla ya mlo mkuu.

Matamshi

kiamshahamu

/kijam∫ahamu/