Ufafanuzi wa kiangamambele katika Kiswahili

kiangamambele

nominoPlural viangamambele

  • 1

    umbo ambalo maana yake inaweza kukamilika kwa kutegemea neno la mbele.

Matamshi

kiangamambele

/kijangamambɛlɛ/