Ufafanuzi wa kibago katika Kiswahili

kibago

nominoPlural vibago

  • 1

    kiti kidogo, agh. kisichokuwa na mgongo, kinachotumiwa kukalia au kuwekea miguu wakati wa kupumzika.

    stuli

Matamshi

kibago

/kibagO/