Ufafanuzi wa kibendo katika Kiswahili

kibendo

nomino

  • 1

    kipande kidogo cha kitu; sehemu ndogo ya kitu kizima au kamili.

    ‘Kibendo cha mkate’

Matamshi

kibendo

/kibɛndO/