Ufafanuzi wa kibisi katika Kiswahili

kibisi

nominoPlural vibisi

  • 1

    ndege wa majini ambaye mkia wake ni mfupi na shingo yake ni ndefu.

Matamshi

kibisi

/kibisi/