Ufafanuzi msingi wa kibwiko katika Kiswahili

: kibwiko1kibwiko2kibwiko3

kibwiko1

nominoPlural vibwiko

  • 1

    mkono au mguu wenye vidole vilivyopinda ama vilemavu.

Matamshi

kibwiko

/kibwikɔ/

Ufafanuzi msingi wa kibwiko katika Kiswahili

: kibwiko1kibwiko2kibwiko3

kibwiko2

nominoPlural vibwiko

  • 1

    mtu mwenye mikono au miguu yenye vidole vilivyopinda.

Matamshi

kibwiko

/kibwikɔ/

Ufafanuzi msingi wa kibwiko katika Kiswahili

: kibwiko1kibwiko2kibwiko3

kibwiko3

nominoPlural vibwiko

  • 1

    kishimo kinachofanywa katika tonge la chakula k.v. ugali au mseto, kwa dhamira ya kuchotea au kutilia mchuzi wakati wa kula.

Matamshi

kibwiko

/kibwikɔ/