Ufafanuzi wa kichanio katika Kiswahili

kichanio

nominoPlural vychanio

  • 1

    kisu cha kuchania ukindu.

Matamshi

kichanio

/kit∫anijɔ/