Ufafanuzi wa kichekesho katika Kiswahili

kichekesho

nominoPlural vychekesho

  • 1

    kitu au jambo linalochekesha.

  • 2

    mzaha usioudhi.

Matamshi

kichekesho

/kit∫ɛkɛʃɔ/