Ufafanuzi wa kichelema katika Kiswahili

kichelema

nominoPlural vychelema

  • 1

    muhogo usioiva wenye maji.

  • 2

    kipande cha sabuni kilichobakia baada ya kufuliwa.

    panza

Matamshi

kichelema

/kit∫ɛlɛma/