Ufafanuzi wa kichokoo katika Kiswahili

kichokoo

nominoPlural vychokoo

  • 1

    mwiba au msumari unaochomekwa pembeni mwa kisigino cha kiatu ili kumchoma farasi mbavuni kumwashiria aende k.v. kushoto, kulia au aongeze mbio zaidi.

Matamshi

kichokoo

/kit∫OkO:/