Ufafanuzi wa kichujio katika Kiswahili

kichujio

nominoPlural vychujio

  • 1

    kifumbu
    "mkuto"

  • 2

    chombo kinachotumika kutenganisha k.m. chai na majani yake.

Matamshi

kichujio

/kit∫uʄijO/