Ufafanuzi wa kidani katika Kiswahili

kidani

nominoPlural vidani

  • 1

    chombo kinachotengenezwa kwa madini, agh. ya fedha au dhahabu, na ni pambo la wanawake linalovaliwa shingoni pamoja na mkufu.

Matamshi

kidani

/kidani/