Ufafanuzi wa kidatu katika Kiswahili

kidatu

nominoPlural vidatu

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    hali ya kupanda na kushuka kwa mawimbi ya sauti.

  • 2

    Sarufi
    kiwango cha juu, cha kati au cha chini cha msikiko wa sauti katika usemaji.

Matamshi

kidatu

/kidatu/