Ufafanuzi wa kidusi katika Kiswahili

kidusi

nominoPlural kidusi

  • 1

    harufu yoyote kali ya kitu, ambayo si ya kawaida.

  • 2

    harufu mbaya ya samaki au mnyama.

Matamshi

kidusi

/kidusi/