Ufafanuzi wa kielelezo katika Kiswahili

kielelezo

nominoPlural vielelezo

  • 1

    kitu halisi au mfano wake kitumiwacho kuonyeshea au kuelezea kitu halisi.

    mchoro, picha

  • 2

    tendo la kueleza au kuonyesha kitu au jambo.

Matamshi

kielelezo

/kijɛlɛlɛzɔ/