Ufafanuzi msingi wa kienyeji katika Kiswahili

: kienyeji1kienyeji2

kienyeji1

kielezi

  • 1

    kwa kufuata utaratibu wa wenyeji k.v. katika mapishi, uleaji au sherehe mbalimbali.

  • 2

    bila kufuata utaratibu uliowekwa wa kufanya jambo.

    ‘Fedha nyingi zimetumika kienyeji’

Matamshi

kienyeji

/kijɛ3ɛʄi/

Ufafanuzi msingi wa kienyeji katika Kiswahili

: kienyeji1kienyeji2

kienyeji2

kivumishi

Matamshi

kienyeji

/kijɛ3ɛʄi/