Ufafanuzi wa kifaduro katika Kiswahili

kifaduro

nominoPlural kifaduro

  • 1

    ugonjwa wa kukohoa sana na kutoa sauti kama ya filimbi, agh. huwashika watoto wadogo na huambukiza sana.

Matamshi

kifaduro

/kifadurO/