Ufafanuzi wa kifufumkunye katika Kiswahili

kifufumkunye

nomino

  • 1

    kitu kisichofahamika au jambo lisilofahamika, hasa lisilo na maana au lisilokuwa muhimu.

Matamshi

kifufumkunye

/kifufumku3ɛ/