Ufafanuzi wa kifunguamkoba katika Kiswahili

kifunguamkoba

nomino

  • 1

    malipo ya awali yanayotolewa kwa mganga.

Matamshi

kifunguamkoba

/kifunguwamkɔba/