Ufafanuzi wa kifuta katika Kiswahili

kifuta

nominoPlural kifuta

  • 1

    hali ambayo mtu husikia kooni kama kwamba amekula kitu cha mafuta yakamsalia.

Matamshi

kifuta

/kifuta/