Ufafanuzi wa kifyonzavumbi katika Kiswahili

kifyonzavumbi

nominoPlural vifyonzavumbi

  • 1

    kifaa cha umeme ambacho hufyonza vumbi na takataka kutoka kwenye mazulia yaliyotengenezwa k.v. kwa katani, sufi au pamba.

Matamshi

kifyonzavumbi

/kifjɔnzavumbi/