Ufafanuzi wa kigegezi katika Kiswahili

kigegezi

nominoPlural vigegezi

  • 1

  • 2

    hali ya kuchafuka kwa tumbo inayompata msafiri wa majini anapokuwa chomboni.

  • 3

    hali ya kukataa kitu kwa sababu ya kukiona kichafu.

Matamshi

kigegezi

/kigɛgɛzi/