Ufafanuzi wa kigelegele katika Kiswahili

kigelegele

nominoPlural vigelegele

  • 1

    sauti ya shangwe na furaha inayotolewa, agh. na wanawake, kwa kuchezeshachezesha ulimi mdomoni k.v. katika arusi.

    vifijo, hoihoi, nderemo

Matamshi

kigelegele

/kigɛlɛgɛlɛ/