Ufafanuzi wa kigong’ondo katika Kiswahili

kigong’ondo

nominoPlural vigong’ondo

  • 1

    mlio au sauti itokanayo na kupigwa kwa kitu ili kutaka kujua hali ya kitu hicho k.v. nazi.

Matamshi

kigong’ondo

/kigO4OndO/