Ufafanuzi wa kihalua katika Kiswahili

kihalua

nominoPlural vihalua

  • 1

    samaki mwenye macho madogo, rangi nyeusi mgongoni, kijivu tumboni na mistari ya manjano na buluu ubavuni.

  • 2

    samaki anayefanana na nguru au jodari.

Matamshi

kihalua

/kihaluwa/