Ufafanuzi wa kihero katika Kiswahili

kihero

nomino

  • 1

    chombo cha mti kama sahani au sinia dogo.

Matamshi

kihero

/kihɛrɔ/