Ufafanuzi wa kihoro katika Kiswahili

kihoro

nominoPlural kihoro

  • 1

    huzuni kubwa kwa ajili ya kufikwa na jambo la msiba k.v. kupotewa na mali au kufiwa.

    ‘Pata kihoro’
    ‘Tia kihoro’

Matamshi

kihoro

/kihOrO/