Ufafanuzi wa kiigizi katika Kiswahili

kiigizi

nominoPlural viigizi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    neno lililoundwa kwa kuiga sauti ya kitu.

Matamshi

kiigizi

/ki:gizi/