Ufafanuzi wa kiinuamgongo katika Kiswahili

kiinuamgongo

nominoPlural viinuamgongo

  • 1

    malipo anayopewa mtu aliyeacha kazi kwa sababu fulani k.v. uzee, afya au kuachishwa kazi.

    mafao, pensheni

  • 2

    bahashishi

Matamshi

kiinuamgongo

/ki:nuwamgOngO/