Ufafanuzi wa Kiislamu katika Kiswahili

Kiislamu

kielezi

  • 1

    kwa mujibu wa imani na mafundisho ya dini ya Uislamu yaliyofundishwa na Mtume Muhammad (s.a.w.).

Asili

Kar

Matamshi

Kiislamu

/ki:slamu/