Ufafanuzi wa kikokotoo katika Kiswahili

kikokotoo, kikokotozi

nominoPlural vikokotoo

  • 1

    kifaa kinachotumika kupigia hesabu kwa tarakimu.

Matamshi

kikokotoo

/kikOkOtO:/