Ufafanuzi wa kikope katika Kiswahili

kikope

nominoPlural vikope

  • 1

    ugonjwa wa kuvimba jicho.

Matamshi

kikope

/kikOpɛ/