Ufafanuzi wa kikunazi katika Kiswahili

kikunazi

nominoPlural vikunazi

  • 1

    fimbo fupi, nene kidogo kama kifuo itumikayo kwa kupigania, kuulia samaki, n.k..

Matamshi

kikunazi

/kikunazi/