Ufafanuzi wa kikungu katika Kiswahili

kikungu

nominoPlural vikungu

  • 1

    fundo la mtepe ambalo hufungiwa tanga.

Matamshi

kikungu

/kikungu/