Ufafanuzi msingi wa kilinge katika Kiswahili

: kilinge1kilinge2

kilinge1

nomino

  • 1

    mahali pa uganga.

  • 2

    uwanja wa kufanyia matibabu ya kienyeji, agh. panapopungwa wateja.

Matamshi

kilinge

/kilingÉ›/

Ufafanuzi msingi wa kilinge katika Kiswahili

: kilinge1kilinge2

kilinge2

nomino

  • 1

    hali inayomlazimu mhusika kukubali moja ya mapendekezo ambayo kila moja linapingana na msimamo wake.

Matamshi

kilinge

/kilingÉ›/