Ufafanuzi wa kimbia katika Kiswahili

kimbia

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~liwa, ~wa, ~za

  • 1

    epukana na mtu.

  • 2

    enda kwa haraka sana kwa kutumia vidole zaidi kuliko visigino; enda kwa kasi; enda mbio.

    feleti, chomoka, sharidi, dabiri, timka, toroka, chonga

Matamshi

kimbia

/kimbija/