Ufafanuzi wa kimia katika Kiswahili

kimia

nominoPlural vimia

  • 1

    namna ya wavu wa nyuzi nyembamba.

  • 2

    kitambaa kilichofumwa kama wavu.

Matamshi

kimia

/kimija/