Ufafanuzi msingi wa kimya katika Kiswahili

: kimya1kimya2

kimya1

nominoPlural kimya

 • 1

  hali ya kutokuweko na sauti au kelele.

  kete

Matamshi

kimya

/kimja/

Ufafanuzi msingi wa kimya katika Kiswahili

: kimya1kimya2

kimya2

kiingizi

 • 1

  bila ya kutoa sauti wala kelele.

 • 2

  chup!.

  nyamaza!, kelele

Matamshi

kimya

/kimja/